Rais Dkt Magufuli Arejea Nyumbani Leo Baada Ya Ziara Ya Kiserikali Ya Siku Mbili Nchini Kenya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitelemka kwenye ndege baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa...
Simba, Yanga Waanza Kumtoa Jasho Mzee El-Maamry Suala La Kessy
MSULUHISHI wa kisheria wa sakata la madai ya Simba dhidi ya Yanga na mchezaji Hassan Kessy, Wakili Said Hamad El-Maamry anatarajiwa kukutana na pande...
Serikali kukopa dola za kimarekani million 900 ili kutekeleza miradi ya maendeleo nchini.
Serikali inategemea kukopa dola za Marekani milioni 900 ambazo ni sawa na sh trilioni 2.080 kutoka vyanzo vya nje vyenye masharti ya kibiashara ili...
Watumishi Wa Umma 1,663 Wachukuliwa Hatua Za Kinidhamu Kwa Kusababisha Wafanyakazi Hewa
Watumishi wa Umma 1,663 kutoka Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala za Serikali, Sekretarieti za Mikoa, na Mamlaka za Serikali za Mitaa wamechukuliwa...
KATIKA kukabiliana na kasi ya maambukizi ya UKIMWI katika halmashauri ya manispaa ya Iringa
KATIKA kukabiliana na kasi ya maambukizi ya UKIMWI katika halmashauri ya manispaa ya Iringa, baadhi ya madiwani wa halmashauri hiyo wameshazishauri...
Mbunge Lema anusurika kutekwa, aokolewa na polisi
Mbunge wa Jimbo la Arusha Godbless Lema usiku wa kuamkia leo, amenusurika kutekwa na Majambazi eneo Makuyuni Wilayani Monduli akitokea Bungeni...
Mashali Kuagwa Leaders Club Kesho Saa Tano Asubuhi
Kamati ya mazishi iliyokutana leo na kuongozwa na Japhet Kaseba, Rashid Matumla, Emmanuel Mlundwa, Juma Mbizo na wengine, imefikia uamuzi huo kuwa Mashali...
Boniface Jacob ashinda ‘umeya’ manispaa ya ubungo
Diwani wa Kata ya Ubungo ambaye pia alikuwa Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kabla madiwani wake hawajagawanyika, Boniface Jacob ameshinda...
Wanachama Yanga Wanusurika Katika Ajali Mbaya Ya Gari Wakiwa Njiaji Kuifuata Mbeya City
Baadhi ya wanachama wa Yanga, wamepata ajali mbaya ya gari. Bahati nzuri, wote wamefanikiwa kutoka salama katika ajali hiyo iliyotokea katika...








No comments:
Post a Comment